WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • WAZIRI MKUU WA UINGEREZA AENDELEA KUZUIA MASHABIKI

WAZIRI MKUU WA UINGEREZA AENDELEA KUZUIA MASHABIKI

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson ametangaza kuendelea kuzuia mashabiki kuingia uwanjani kushuhudia shughuli mbalimbali za kimichezo walau hadi Oktoba.

 Awali kulikuwa na matumaini wikiendi hii katika michezo ya World Snooker Championship na Goodwood Festival wangeweza kuruhusu walau idadi ndogo ya mashabiki lakini imeshindikana.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More