WS14 – WorldSports14

WAJUE WADHAMINI WAPYA WA ASTON VILLA

Klabu ya Aston Villa imetambulisha jezi zao za nyumbani za msimu ujao pamoja na wadhamini wao wapya ‘Cazoo’ ambao wamechukua nafasi ya kampuni ya Ubashiri ya Asia W88

Cazoo ambao ni kampuni ya mtandaoni ya udalali wa magari yaliyotumika iliyopo jijini London,England, hivi karibuni pia ilisaini dili ya udhamini na klabu ya Everton.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More