WS14 – WorldSports14

UWANJA WA GWAMBINA FC WAFUNGIWA NA BODI YA LIGI

Bodi ya Ligi kuu Tanzania (TPBL) imetangaza kuufungia uwanja wa Gwambina FC kuchezewa katika mechi zozote za mashindano kutokana na eneo la kuchezea (Pitch) kutokidhi viwango vilivyoanishwa.

Bodi hiyo imetaka klabu hiyo kupendekeza jina la uwanja wingine kati ya CCM Kirumba na Nyamagana ambao watautumia katika mechi zao za nyumbani katika msimu huu wa ligi kuu.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More