WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • TUNDA MAN AAHIDI KUCHOMA GARI YAKE SIMBA IKIFUNGWA NA YANGA

TUNDA MAN AAHIDI KUCHOMA GARI YAKE SIMBA IKIFUNGWA NA YANGA

Msanii wa muziki wa Bongofleva Tunda Man ameahidi kuwa kama timu anayoishabikia ya Simba SC itafungwa tena na Yanga Jumapili ya Julai 12 2020, basi ataichoma moto gari yake aina ya Mark X T 616 DBJ mbele ya Waandishi wa habari.

“Bwana Mark X yangu si unaijua ile DBJ 616 mimi nakwambiaje nitaita waandishi wa habari naichukua ile gari na kadi yake naiweka ndani ya gari naifunga vioo naitia Petrol nawasha gari yangu moto lote linateketea nyie mnashoot linateketea, nikifungwa na Yanga tena” – Tunda Man VIA HZB

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More