WS14 – WorldSports14

TAREHE YA UCHAGUZI WA CAF YATAJWA

Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) litafanya uchaguzi wake mkuu Machi 12 2021 nchini Morocco na hadi sasa Rais wa sasa wa Shirikisho hilo Ahmad Ahmad akiwa bado hajathibitisha kama atagombea tena au hatogombea.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More