WS14 – WorldSports14

SIRI YA SALAH KUSHANGALIA KWA KUZIBA MASIKIO

Baada ya kufunga goli la tatu na la ushindi wa Liverpool jana dhidi ya Leeds, Mo Salah alishangilia akiwa ameziba masikio ikiwa ni heshima yake na ishara ya mshikamano kwa mchezaji mwenzake wa Misri Moemen Zakaria anayesumbuliwa na maradhi ya misuli ya mwili kuwa dhaifu (Incurable ALS).

Staili hiyo ya ushangiliaji ndiyo ambayo hupenda kuitumia kiungo huyo wa Al Ahly Moamen Zakaria

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More