WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • SABABU YA AL AHLY KUSHANGILIA WAKIWA WAMEZIBA MASIKIO

SABABU YA AL AHLY KUSHANGILIA WAKIWA WAMEZIBA MASIKIO

Usiku wa jana wachezaji wa Al Ahly walitoa heshima zao na ishara ya mshikamano kwa mchezaji mwenzao Moamen Zakaria ,32, kwa kushangilia katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Ismaily wakiwa wameziba masikio kama ambavyo hupenda kufanya Moamen Zakaria anapokuwa anashangilia goli.

Moamen Zakaria kwa sasa anapitia mtihani wa kusumbuliwa na maradhi (incurable ALS)ambayo yanahatarisha maisha yake ya soka, hata hivyo licha ya upinzani uliopo kati ya Al Ahly ma Zamalek, golikipa wa Zamalek Mahmoud Genish alivaa T Shirt yenye picha ya Moamen kama ishara ya kuungana nae.

Incurable ALS ni ugonjwa ambao hufanya misuli ya mwili kuwa dhaifu.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More