WS14 – WorldSports14

RONALDO AJIPONGEZA KWA BUGATTI

Baada ya hivi karibuni kununua boti ya kifahari kwa kwa Pauni milioni 5.5 (Tsh Bilioni 16.7),staa wa Juventus Cristiano Ronaldo sasa ameripotiwa kununua gari ya kifahari Bugatti Centodieci ambazo zipo 10 tu duniani kwa  kwa Pauni milioni 8.5 (Tsh Bilioni 25.9)——kwa ajili ya kujipongeza kuchukua Ubingwa wa Serie A msimu huu.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More