WS14 – WorldSports14

RAMADAN SOBHI AJIUNGA NA PYRAMIDS FC

Kiungo mshambuliaji wa zamani wa timu za Al Ahly, Stoke City na Huddersfield Town ya England Ramadan Sobhi ,23, baada ya kucheza kwa mkopo wa miaka miwili Al Ahly (2018-2020) sasa amejiunga na klabu ya Pyramids FC ya kwao Misri kwa mkataba wa miaka mitano (2020-2025).

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More