WS14 – WorldSports14

NAOMI OSAKA BINGWA US OPEN 2020

Mjapan Naomi Osaka amefanikiwa kushinda ubingwa wa US Open 2020 baada ya ushindi wake wa seti 1-6,6-3,6-3 katika mchezo wa fainali dhidi ya Victoria Azarenka kutoka Belarus. 

Hii ni mara ya pili Naomi Osaka anashinda ubingwa wa US Open na ni Grand Slam yake ya tatu kushinda

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More