WS14 – WorldSports14

MWANAMAMA AANDIKA HISTORIA KENYA

Liz Mills raia wa Australia ambaye ni kocha wa timu ya Taifa ya Basketball ya Kenya, ameandika historia ya kuwa kocha wa kwanza Mwanamke kuiongoza timu ya Wanaume kufuzu michuano ya FIBA Afrobasket. 


Mills amefanikiwa kuipeleka Kenya kwenye michuano hiyo mikubwa barani Afrika kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 28, baada ya ushindi wao wa Pointi 74-73 dhidi ya Angola. 


Michuano hiyo inataraji kufanyika Kigali nchini Rwanda Tarehe 24 August – 5 September

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More