WS14 – WorldSports14

MSHAMBULIAJI WA ZAMBIA ASAJILIWA ZARAGOZA

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Wanawake ya Zambia Hellen Mubanga amefanikiwa kusaini mkataba wa miaka mitatu na klabu ya Zaragoza CFF ya Hispania akitokea klabu ya Red Arrows FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Zambia

Mkataba wa Hellen na Zaragoza unatarajia kuanza msimu wa 2020/2021 klabu hiyo ikiwa inashirikia Ligi ya Wanawake ya daraja la pili nchini Hispania.

 

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More