WS14 – WorldSports14

MOURINHO ATAKA WAAMUZI WAWE WANAHOJIWA

Kocha wa Tottenham Hotspur ya England Jose Mourinho ametaka waamuzi wa mchezo wawe wanapewa nafasi ya kuulizwa na kujieleza kwa waandishi kuhusiana maamuzi ambayo wanayafanya.
.
“Waulize waamuzi na sio mimi unatakiwa uwe na nafasi ya kuwauliza, ninajua sheria hairuhusu hicho kitu lakini ninafikiri unatakiwa uwe na nafasi ya kuwauliza wao moja kwa moja kwa nini ipo hivyo”- Mourinho

Jose Mourinho alitoa jibu hilo mara baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kuwa anadhani kwa nini Harry Kane hakupewa penati kwa tukio lake la mechi ya jana dhidi ya Bournemouth

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More