WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • MOROCCO KUTOKA MILIONI 300 KWA KILA TIMU YA KLABU BINGWA NA SHIRIKISHO AFRIKA

MOROCCO KUTOKA MILIONI 300 KWA KILA TIMU YA KLABU BINGWA NA SHIRIKISHO AFRIKA

Imeripotiwa kuwa Morocco itachangia dola 100,000 (Tsh milioni 232) kwa kila timu iliyopo nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) msimu huu kwa ajili ya kuzisaidia timu wakati huu wa Corona.
Kuanzia mechi za nusu fainali mpaka fainali za michuano hiyo yote zinachezwa nchini Morocco

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More