WS14 – WorldSports14

MOROCCO KURUDISHA LIGI KUU

Shirikisho la Mpira wa miguu nchini Morocco linapanga kurejesha kwa Ligi Kuu ya nchini Morocco (Botola Pro) na Ligi daraja la pili (Botola 2) kuanzia Julai 24 na kumalizika Agosti 8 2020 bila uwepo wa mashabiki uwanjani sababu ya hofu ya Corona.

 

Shughuli za kimichezo nchini Morocco zilisimama toka Machi 14 2020 sababu ya janga la Corona, msimu mpya wa Ligi Kuu Morocco wa 2020/2021 utaanza Oktoba 16.

 

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More