WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • MKUU WA USAJILI WA CHELSEA ATUHUMIWA KWA UPELELEZI

MKUU WA USAJILI WA CHELSEA ATUHUMIWA KWA UPELELEZI

Mkuu wa usajili wa klabu ya Chelsea Marina Granovskaia anatuhumiwa nchini Ujerumani kwa kufanya upelelezi kwa kuwauliza mawakala wa wachezaji udhaifu wa mapatano wa timu ya Bayern Leverkusen upo sehemu gani.

Marina anatajwa kuwa anajaribu kutafuta njia ya kushusha bei ya Mchezaji wa Bayer Leverkusen Kai Havertz anayetakiwa na Chelsea ambapo Leverkusen wanahitaji pauni milioni 90 (Tsh Bilioni 273.3) ili wamuachie.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More