WS14 – WorldSports14

MIKE TYSON KUSHUKA ULINGONI SEPTEMBA 12

Bondia Mike Tyson anataraji kurejea ulingoni katika pambano la maonesho la Raundi nane dhidi ya Roy Jones Jr Septemba 12,2020 huko California.

Tyson,54, hajapigana tangu apoteze dhidi ya Kevin McBride Juni 2005 huku mpinzani wake Ray Jones Jr,51, mara ya mwisho kushuka ulingoni ilikuwa Februari 2018 aliposhinda dhidi ya Scott Sigmon.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More