WS14 – WorldSports14

MCHEZAJI WA GHANA AFARIKI DUNIA CAMBODIA

Mchezaji Amoah Samuel ,28, raia wa Ghana amefariki Dunia huko Phnom Penh nchini Cambodia baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Amoah alikuwa akicheza ISI Dangkor Senchey ya Cambodia na inatajwa kuwa inawezekana akazikwa huko kutokana na nchi yake ya Ghana bado ipo kwenye Lockdown na imefunga mipaka na kuzuia ndege kuingia.MCH

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More