WS14 – WorldSports14
  • Home
  • MMA
  • MCGREGOR ATANGAZA TENA KUSTAAFU

MCGREGOR ATANGAZA TENA KUSTAAFU

Staa wa UFC Conor McGregor ametangaza kustaafu mchezo wa MMA leo kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Raia huyo Ireland alikuwa anataraji kupigana na Anderson Silva,Jorge Masvidal na kurudiana na Khabib Nurmagomedov mwaka huu.

Hii si mara ya kwanza McGregor kutangaza kustaafu mchezo huo, mwezi Machi mwaka jana alitangaza hivyo lakini akarejea ulingoni hata kabla ya miezi 12 kupita.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More