WS14 – WorldSports14

MAN CITY WAITOA ETIHAD KWA NHS KAMA WATAHITAJI

Klabu ya Manchester City ya jijini Manchester England limetangaza rasmi kujitolea kwa shirika la afya nchini humo (NHS).

Man City ambaye pamoja na mahasimu wenzao Man United wiki kadhaa nyuma walichangia pesa kwa ajili ya kuikimbiza corona.

Nchi za Ulaya pia hospitali zimejaa sana ila leo Man City imetangaza kuutoa uwanja wake wa Etihad kwa NHS kama watahitaji kuutumia kwa wagonjwa wa corona wakati huu ambao hospitali zikidaiwa kujaa.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More