WS14 – WorldSports14

KUMKOHOLEA MPINZANI AU MWAMUZI NI KADI NYEKUNDU

Chama cha soka cha England FA kimeanzisha sheria mpya ya wachezaji watakawakoholea waamuzi au wapinzani kwa makusudi katika mechi,watapewa kadi nyekundu au kadi ya njano.

Sheria hiyo inakuja ikiwa ni njia ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More