WS14 – WorldSports14

KOCHA WA MAN UNITED AJIUNGA NA READING

Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Afrika Kusini Bafana Bafana na Man United Quinton Fortune ,43, ameacha kazi ya kuwa kocha msaidizi wa kikosi cha Man United U-23 na kujiunga na kocha Veljko Paunović katika klabu ya Reading.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More