WS14 – WorldSports14

KLAY KUUKOSA MSIMU MWINGINE TENA NBA

Timu ya Golden State Worriors imethibitisha nyota wao Klay Thompson amefanyiwa vipimo leo na kugundulika aliumia katika mguu wake wa kulia (Achilles tendon) jana mazoezini.

Timu hiyo imesema mchezaji huyo anataraji kukosa msimu mzima ujao 2020/2021

Klay alikosa msimu mzima uliopita baada ya kuumia goti lake la kushoto katika Game 6 ya fainali za NBA dhidi ya Toronto Raptors mwaka 2019

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More