WS14 – WorldSports14

KAIZER CHIEFS WAMFUKUZA KOCHA MSAIDIZI

Klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kupitia Mwenyekiti wake Kaizer Motaung na Bodi ya Wakurugenzi wamekubaliana kusitisha mkataba wa kocha wao msaidizi Shaun Bartlett ikiwa ni siku moja imepita toka wamfute kazi kocha Mkuu Ernst Middendorp raia wa Ujerumani.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More