WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Formula 1
  • HAMILTON AWASHANGAZA WATU KWA KUSHINDA NA TAIRI BOVU

HAMILTON AWASHANGAZA WATU KWA KUSHINDA NA TAIRI BOVU

Dereva Lewis Hamilton amewaacha mashabiki mdomo wazi baada ya kuibuka na ushindi katika mbio za Silverstone British GP huku gari yake ikiwa na matairi matatu yaliyo mazima baada ya moja kupata pancha.

Max Verstappen wa Red Bull amechukua nafasi ya pili huku Ferrari wakirudi upya baada ya kumaliza vibaya katika mbio zilizopita , leo dereva wao Charles Leclerc kamaliza katika nafasi ya tatu.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More