WS14 – WorldSports14

Gareth Bale akataliwa MLS

Nyota wa Real Madrid Gareth Bale amekataliwa na klabu za Ligi Kuu Marekani kusajiliwa nazo baada ya kudai mshahara mkubwa wa pauni 650,000 (Tsh Bilioni 1.8).

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More