WS14 – WorldSports14

FRANK LAMPARD ATIMULIWA CHELSEA

Klabu ya Chelsea imetangaza kuachana na kocha Frank Lampard baada ya kocha huyo kudumu kwa miezi 18 katika timu hiyo.

Kiungo huyo wa zamani wa timu hiyo anaondoka akiacha klabu hiyo ikiwa nafasi ya tisa katika msimamo wa ligi kuu nchini England baada ya wiki jana kupoteza mchezo dhidi ya Leicester City.

Mechi yake ya mwisho ilikuwa ni jana ambayo walishinda 3-1 dhidi ya Luton na kufuzu raundi ya tano ya FA CUP.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More