WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • FRAGA AUNGA MKONO VITA YA UBAGUZI BAADA YA KUIFUNGA YANGA

FRAGA AUNGA MKONO VITA YA UBAGUZI BAADA YA KUIFUNGA YANGA

Kiungo wa Simba Mbrazil Gerson Fraga baada ya kufunga goli dhidi ya Yanga jana, alishangilia kwa kupiga goti moja chini na kunyosha mkono mmoja juu ikiwa ni ishara ya kuunga mkono mapambano dhidi ubaguzi wa rangi

Kwenye mchezo huo wa nusu fainali kombe la Azam Sports Federation Cup Simba wamefanikiwakuibuka na ushindi wa goli 4-1 na kufuzu hatua ya fainali ambapo watakutana na Namungo Fc waliofika hatua hiyo kwa kumfunga Sahare All Stars ya Tanga goli 1-0

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More