Emerson kurejea Serie A May 22, 2020 Share Beki wa Chelsea Emerson Palmieri anaweza kuondoka Chelsea na kurejea Italia katika klabu ya Juventus au Inter Milan ambazo zimeinesha nia nae, Emerson amekiri kuwa na nia ya kurejea Serie A ya Italia.