WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Tennis
  • DOMINIC THIEM AFANYA COMEBACK KUSHINDA GRAND SLAM YA KWANZA

DOMINIC THIEM AFANYA COMEBACK KUSHINDA GRAND SLAM YA KWANZA

Dominic Thiem anafanya ‘comeback’ katika fainali ya US Open 2020 na kuchukua ubingwa huo dhidi ya Mjerumani Alexander Zverev,ikiwa ni Grand Slam yake ya kwanza kushinda.

Dominic Thiem kutoka Austria,alifungwa katika seti mbili za kwanza 2-6,4-6 lakini hakukata tamaa na kushinda seti tatu mfululizo 6-4,6-3,7-6 na kuibikua bingwa.

Dominc Thiem anakuwa ni mchezaji wa kwanza ndani ya miaka 71 kushinda ubingwa wa US Open baada ya kupoteza seti mbili za kwanza katika mchezo wa fainali.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More