WS14 – WorldSports14

DAKTARI WA MAMELODI ATOA ONYO YA CORONA

Daktari wa klabu ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini Carl Tabane amenukuliwa akisema kuwa wachezaji wengi wa Ligi Kuu Afrika Kusini (PSL) wataugua Corona sababu ugonjwa huo umeathiri watu wengi.

“Haitakuwa Kaizer Chiefs pekee ndio ina visa (maambukizi), klabu nyingi na wachezaji wataathirika nchi nzima wameguswa na ugonjwa huo”- Carl Tabane

Hadi sasa vilabu vinne vya soka vya Afrika Kusini ambavyo ni Kaizer Chiefs, Bloemfontein Celtic, Stellenbosch FC na Orlando Pirates vimethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya Corona katika kambi zao.

#Bikosports #FastPlayFastPay 

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More