WS14 – WorldSports14

Category : VPL

YANGA WASHUSHA MSHAMBULIAJI LEO

Rehema Lucas
Klabu ya Yanga leo imempokea mshambuliaji wao mpya Mghana Michael Sarpong ambaye amejiunga na timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.  Mwezi Mei mwaka huu

SIMBA YAMNASA BWALYA

Rehema Lucas
Simba SC imetangaza kumsajili kiungo kutoka Zambia Larry Bwalya Mchezaji huyo alikuwa anaripotiwa kuwa anawindwa na wapinzani wao Yanga

CEO WA SIMBA SC AJIUZULU

Rehema Lucas
Kupitia Ukurasa wake wa Twitter, CEO wa klabu ya Simba Senzo Mbatha atangaza kujiuzulu nafasi hiyo mara moja A special thank you message to @SimbaSCTanzania

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More