WS14 – WorldSports14

Category : Tennis

OSAKA AJITOA FRENCH OPEN 2020

Rehema Lucas
Bingwa wa US Open 2020 Naomi Osaka ametangaza kutoshiriki michuano ya French Open mwaka huu kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya misuli ya paja, na

NAOMI OSAKA BINGWA US OPEN 2020

Rehema Lucas
Mjapan Naomi Osaka amefanikiwa kushinda ubingwa wa US Open 2020 baada ya ushindi wake wa seti 1-6,6-3,6-3 katika mchezo wa fainali dhidi ya Victoria Azarenka

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More