WS14 – WorldSports14

Category : SERIE A

KIUNGO WA ATALANTA AFARIKI DUNIA

Rehema Lucas
Kiungo wa Atalanta ya Serie A Andrea Rinaldi amefariki dunia leo baada ya kupata matatizo ya ubongo (brain aneurysm) wakati akifanya mazoezi nyumbani kwake Ijumaa

MATUIDI NA RUGANI WAPONA CORONA

Rogers kamene
Klabu ya Juventus imethibitisha wachezaji wao waliokuwa na maambukizi ya virusi vya Corona Daniel Rugani na Blaise Matuidi wamepona kabisa. Matuidi aligundulika kuwa na maambukizi

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More