Beki wa Chelsea Emerson Palmieri anaweza kuondoka Chelsea na kurejea Italia katika klabu ya Juventus au Inter Milan ambazo zimeinesha nia nae, Emerson amekiri kuwa
Vilabu vya FC Barcelona na Inter Milan vinajadiliana kuhusiana na kuuzia mchezaji wa Inter Milan Lautaro Martinez, kwenye uhamisho huo unaojadiliwa hautamuhusisha Arturo Vidal kama
Mshambuliaji wa klabu ya Brescia ya Italia Mario Balotelli anaendelea kuwindwa na klabu ya Vasco Da Gama ya Brazil ikipigana vikumbo na klabu ya Galatasaray
Nyota wa Real Madrid Gareth Bale amekataliwa na klabu za Ligi Kuu Marekani kusajiliwa nazo baada ya kudai mshahara mkubwa wa pauni 650,000 (Tsh Bilioni
Kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer ameripotiwa kumuhitaji kwa hali na mali nahodha wa Aston Villa Jack Grealish na yupo tayari kutoa pauni milioni
Kwa mujibu wa kituo cha Radio cha Caden Ser cha Hispania kimeripoti kuwa nahodha wa FC Barcelona Lionel Messi amependekeza usajili wa Neymar kutoka PSG
Legend wa Barcelona Rivaldo amemshauri mbrazili mwenzake Philippe Coutinho anayewindwa na Chelsea kuwa atarejesha makali yake aliyokuwa nayo awali kama atakubali kujiunga na Chelsea. Rivaldo
This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. AcceptRead More