Bondia wa England mwenye asili ya Nigeria Anthony Joshua ameungana na mamia ya waandamanaji katika mji wa Watford walioandamana kwa ajili ya kupinga ubaguzi wa
Kocha wa mchezo wa MMA nchini Urusi Vladimir Osiya ,35, ambaye amekuwa akimfundisha Magomed Ismailov. Vladimir ameshitakiwa kwa tuhuma za kupanga njama za mauaji kwa
Mwanariadha wa Jamaica Usain Bolt amefanikiwa kuwa baba kwa mara ya kwanza baada ya mpenzi wake Kasi Benneth kujifungua mtoto wa kike juzi Jumapili. Habari
Mchezaji wa NFL Deandre Baker amejisalimisha kwa polisi leo Jumamosi asubuhi baada ya kutuhumiwa kufanya wizi/unyanga’nyi kwa kutumia bunduki huko Florida nchini Marekani. Baker,22, ambaye
Timu za NBA zinataraji kufungua viwanja vyao vya mazoezi Ijumaa hii ikiwa ni miezi miwili tangu kufungwa kwa sababu ya virusi vya Corona Wachezaji watakuwa
Zikiwa ndio mbio zilizotarajiwa kuanza kwa msimu huu baada ya kushindikana kuanza kwa mbio zozote tokea mwanzoni mwa mwaka kutokana na mlipuko wa virusi vya
Janga la Corona likiendelea kuadhiri shughuli mbalimbali za michezo duniani, wapenzi wa michezo na mashabiki wakishuhudia igi kubwa za mpira wa miguu duniani (EPL, LaLiga,
This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. AcceptRead More