Waziri mkuu wa Ufaransa Edouard Philippe ametangaza hakutakuwa na shughuli zozote za michezo nchini humo mpaka mwezi Septemba kwa sababu ya virusi vya Corona, hivyo
Baada ya mafanikio ya ushirikiano wao na klabu ya Arsenal, Rwanda sasa imetangaza kusaini mkataba wa miaka mitatu wa matangazo na matajiri wa Ufaransa PSG.
Beki wa Barcelona Gerrad Pique amesema kuwa wachezaji walikuwa tayari kucheleweshewa malipo kama hili lingesaidia kumrudisha mchezaji Neymar klabuni hapo. Neymar aliondoka klabuni hapo mwaka
Nyota wa zamani wa Barcelona Rivaldo amesema hafikirii kama Neymar akijiunga na Real Madrid itamfanya awe msaliti kwa timu yake ya zamani. Neymar ambaye