Mmiliki wa timu ya Racing Point Lawrence Stroll ambaye pia ni baba wa dereva wa timu hiyo Lance Stroll, amelalamikia maamuzi yaliyotolewa ya kuiadhibu timu
Dereva Valtteri Bottas ameongeza mkataba wa mwaka mmoja katika timu yake ya Mercedes hivyo kumfanya kuwepo katika timu hiyo mpaka msimu wa mwaka wa 2022.
Dereva Sergio Perez ‘Checo’ anaweza kurejea katika mbio za Silverstone weekend hii kama atafanikiwa pita vipimo vya covid-19 baada ya kukamilisha siku 7 za kukaa
Dereva Lewis Hamilton amewaacha mashabiki mdomo wazi baada ya kuibuka na ushindi katika mbio za Silverstone British GP huku gari yake ikiwa na matairi matatu
Bingwa mara mbili wa dunia katika mbio za formula 1, Mhispania Fernando Alonso anatarajiwa kurejea katika mbio hizo mwaka 2021 Tetesi zimedai nyota huyu atajiunga
Katika ufunguzi wa msimu mpya wa Formular One leo katika Austrian Grand Prix, dereva wa Mercedes Valterri Bottas amefanikiwa kushinda mbio hizo huku nafasi ya
Dereva wa Formular 1 Muingereza Lewis Hamilton jana ameungana na waandamanaji wengine huko Hyde Park,London katika maandamano ya amani ya kupinga ubaguzi wa rangi. Maandamano
Dereva Daniel Ricciardo ametangazwa kuondoka Renault na kujiunga na timu ya McLaren kuanzia mwaka 2021 huku dereva Carlos Sainz akiondoka McLaren kwenye mwaka huo na
This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. AcceptRead More