WS14 – WorldSports14

Category : Football

IAN WRIGHT AIKATAA FAULO YA BRUNO

Rehema Lucas
Mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye kwa sasa ni mchambuzi Ian Wright amesema ile faulo waliyopewa Man United na Bruno kupiga na kufunga haikupaswa kutolewa

FRANK LAMPARD ATIMULIWA CHELSEA

Rehema Lucas
Klabu ya Chelsea imetangaza kuachana na kocha Frank Lampard baada ya kocha huyo kudumu kwa miezi 18 katika timu hiyo. Kiungo huyo wa zamani wa

SIMBA YATANGAZA MRITHI WA SVEN

Rehema Lucas
Simba SC imemtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wao mpya akichukua nafasi ya Sven Vandenbroeck. Kabla ya kuja Simba, Da Rosa alikuwa ni

HATIMAYE MKUDE AOMBA MSAMAHA SIMBA

Rehema Lucas
Kiungo wa klabu ya simba Jonas Mkude leo ameomba msamaha kwa kosa la utovu wa nidhamu lililopelekea kupewa adhabu ya kusimamishwa na timu hiyo mwishoni

MICHAEL OLIVER AKIRI KUKOSEA

Rehema Lucas
Mwamuzi Michael Oliver amekiri kuwa alifanya kosa kutomuonesha kadi nyekundu kipa wa Everton Jordan Pickford kwa kitendo cha kumfanyia rafu mbaya beki wa Liverpool Virgil

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More