Umeshawahi kuijua nguvu ya mchezaji kama Lionel Messi??!! Staa huyo wa Argentina na Barcelona amesaidia kupatikana kwa chanjo 50,000 za virusi vya Corona kwa ajili
Viatu alivyovaa Lionel Messi alipofunga goli la kuweka rekodi ya mchezaji aliyefunga magoli mengi katika klabu moja,vinauzwa na pesa itakayopatikana itaenda kusaidia watoto wanaosumbuliwa na
3-2-1 ndio mfumo walioutumia wakiwa na mpira, na walitumia 4-2-0 walipopoteza mpira.Mmmmmh ni timu gani hiyo? Timu ya Rionegro Aguilas ya nchini Colombia jana ililazimika
Kitambaa cha unahodha alichokitupa Cristiano Ronaldo katika mechi dhidi ya Serbia Jumamosi iliyopita, kimechukuliwa na kwenda kupigwa mnada kwa ajili ya kukusanya hela za upasuaji
Ukiachana na Brazil kuibuka mabingwa wa michuano ya Kombe la Dunia 2002, kitu kingine kikubwa ambacho hukumbukwa ni aina ya unyoaji aliokuja nao mshambuliaji wa
Kocha wa klabu Dinamo Zagreb ya nchini Croatia Zoran Mamic amejiuzulu nafasi hiyo kuelekea mechi ya marudiano Europa League dhidi ya Tottenham baada ya mahakama
Juan Laporta ameshinda nafasi ya Urais wa Klabu ya Barcelona kwa mara ya pili. Laporta,58, ambaye ahadi yake kubwa wakati wa kampeni ilikuwa ni kumbakisha
Kwa mechi za hivi karibuni, kocha wa Man City Pep Guardiola amekuwa akionekana kwenye mechi akiwa amevaa vazi (hoodie) lenye maneno ‘Open Arms’ Open Arms
Mshambuliaji Luis Suarez amefichua kitu kilichomkera zaidi kuhusu kuondoka kwake Barcelona na kwenda Atletico Madrid katika majira ya kiangazi mwaka jana. Suarez amesema aliambiwa na
This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. AcceptRead More