WS14 – WorldSports14

Category : Basketball

LEBRON ASHINDA BET KWA MARA YA 9

Rehema Lucas
Staa wa NBA Lebron James ameshinda Tuzo ya BET ya Mwanamichezo Bora wa Kiume wa Mwaka 2021, akiwashinda , Kyrie Irving ,Patrick Mahomes ,Russell Westbrook

MWANAMAMA AANDIKA HISTORIA KENYA

Rogers kamene
Liz Mills raia wa Australia ambaye ni kocha wa timu ya Taifa ya Basketball ya Kenya, ameandika historia ya kuwa kocha wa kwanza Mwanamke kuiongoza

KLAY KUUKOSA MSIMU MWINGINE TENA NBA

Rehema Lucas
Timu ya Golden State Worriors imethibitisha nyota wao Klay Thompson amefanyiwa vipimo leo na kugundulika aliumia katika mguu wake wa kulia (Achilles tendon) jana mazoezini.

GIANNIS AWEKA REKODI YA JORDAN NBA

Rehema Lucas
Kwa mara ya pili mfululizo nyota wa Milwaukee Buck Giannis Antetokounmpo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa NBA Nyota huyo wa kimataifa wa

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More