WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • CAF YATAJA TAREHE MPYA ZA KOMBE LA KLABU BINGWA NA SHIRIKISHO AFRIKA

CAF YATAJA TAREHE MPYA ZA KOMBE LA KLABU BINGWA NA SHIRIKISHO AFRIKA

Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) limetaja tarehe mpya za michezo ya Kombe la shirikisho Afrika (CAFCC) na Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) ambayo sasa itachezwa nchini Morocco kwa sababu ya uwepo wa virusi vya Corona

Michezo ya Kombe la Shirikisho ya nusu fainali itachezwa Oktoba 19 na 20 (Pyramids vs Horoya & RS Berkane vs Hassania Agadir, huku fainali ikiwa Oktoba 25.

Wakati Klabu Bingwa Afrika (CAFCL) nusu fainali zitachezwa Oktoba 16-17 na 23-24 (Wydad vs Al Ahly & Raja Casablanca vs Zamalek) huku mchezo wa fainali utachezwa Novemba 6 2020.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More