WS14 – WorldSports14

BOTTAS AANZA MSIMU VIZURI, HAMILTON MAJANGA

Katika ufunguzi wa msimu mpya wa Formular One leo katika Austrian Grand Prix, dereva wa Mercedes Valterri Bottas amefanikiwa kushinda mbio hizo huku nafasi ya pili ikishikwa na Charles Leclerc wa Ferrari na namba tatu akishika Lando Norris wa McLaren

Bingwa mtetezi Lewis Hamilton alimaliza nafasi ya pili, lakini kwa sababu ya kupigwa ‘five second penalty’ kwa kugongana na Muingereza mwezake Alex Albon—dereva huyo hakuweza kumaliza katika Podium na kushushwa mpaka nafasi ya nne.

Valterri Bottas anashinda mbio za kwanza za msimu kwa mwaka wa pili mfululizo.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More