WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Boxing
  • BONDIA TWAHA KIDUKU AMSAKA PROMOTA ALIYEINGIA MITINI

BONDIA TWAHA KIDUKU AMSAKA PROMOTA ALIYEINGIA MITINI

Bondia Twaha Kiduku ameeleza masikitiko yake juu ya Promota Shomari Kimbau kudai kuwa bado hajawalipa pesa zao za pambano alilocheza dhidi ya Bondia Sirimongkhon Lamthuan wa Thailand katika viwanja vya PTA Sabasaba Oktoba 30 2020

“Nadai robo tatu ya pesa tulizokubaliana. Awali promota (Shomari Kimbau) alinipa robo ya malipo yangu kwa makubaliano iliyobaki nitapewa siku ya pambano, simu hapokei, nyumbani kwake hayupo, ila ninachomwambia pesa yangu atanilipa atake asitake, ile ni haki yangu, nimefanya kazi ninastahili kulipwa,” >>>> Twaha Kiduku VIA MwanaSpoti.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More