WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Boxing
  • BONDIA HASSAN MWAKINYO APANGA VIWANGO DUNIANI

BONDIA HASSAN MWAKINYO APANGA VIWANGO DUNIANI

Kwa mujibu wa viwango vilivyotolewa na mtandao wa ngumi za kulipwa duniani BoxRec Ijumaa iliyopita, Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika viwango vya ubora kutoka nafasi ya 78 hadi ya 41 duniani kati ya mabondia  2,050 wa uzani wa super welter.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More