WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Football
  • BELLERIN ANUNUA HISA KLABU YA LEAGUE TWO ENGLAND

BELLERIN ANUNUA HISA KLABU YA LEAGUE TWO ENGLAND

Beki wa Kulia wa Arsenal Hector Bellerin ametangaza kuwa sasa ni miongoni mwa wanahisa wa klabu ya Forest Green Rovers FC ya League Two nchini England, Bellerin baada ya kuwekeza katika klabu hiyo anakuwa mtu wa pili kuwa na hisa nyingi katika klabu hiyo.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More