WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Rumours
  • Barcelona na Inter wanajadiliana kuhusu Martinez

Barcelona na Inter wanajadiliana kuhusu Martinez

Vilabu vya FC Barcelona na Inter Milan vinajadiliana kuhusiana na kuuzia mchezaji wa Inter Milan Lautaro Martinez, kwenye uhamisho huo unaojadiliwa hautamuhusisha Arturo Vidal kama sehemu ya mauziano.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More