WS14 – WorldSports14
  • Home
  • Rumours
  • Barcelona kumfuta mbadala wa Firpo katika klabu ya Ajax

Barcelona kumfuta mbadala wa Firpo katika klabu ya Ajax

Klabu ya Barcelona ina mtazama nyota wa klabu ya Ajax Nicolas Tagliafico kama ndio beki mbadala wa Junior Firpo ambaye anahusishwa kuwa njiani kuondoka Nou Camp, Nicolas alikuwa anawindwa na Atletico Madrid msimu uliopita lakini akaamua kubakia Ajax.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More