WS14 – WorldSports14

Balotelli anaweza kujiunga na Vasco Da Gama

Mshambuliaji wa klabu ya Brescia ya Italia Mario Balotelli anaendelea kuwindwa na klabu ya Vasco Da Gama ya Brazil ikipigana vikumbo na klabu ya Galatasaray ya nchini Uturuki.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More