WS14 – WorldSports14

BAAADA YA MIAKA 30 LIVERPOOL WATANGAZA UBINGWA

Baada ya kusubiri kwa miaka 30, majogoo wa Uingereza Liverpool leo wametangazwa kuwa Mabingwa wa ligi kuu nchini England msimu wa 2019/20 baada ya Man City kupoteza kwa goli 2-1 dhidi ya Chelsea Stamford Bridge.

Ushindi huu wa Chelsea dhidi ya Man City, unafanya kuwa hakuna timu ambayo inaweza kufikisha pointi 86 alizonazo Liverpool, katika mechi saba zilizobaki msimu huu.

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More